BROKEN MADA KUTOKA ARUSHA IKIWA IME UNGANISHWA NA CMPOO NA DE LA P WAMEAMUA KUTOA YA MOYONI KATIKA INTER VIEW WALIYO IFANYA NA LindegeBlog
Na BERNAD DANIEL----LINDEGE
BROKEN MADA Ni Crew Inayokuja kwa kasikubwa sana Arusha Hivyo Bas LindegeBlog kwakutambua uwepo wao Niliamua kuwatafuta ilikujua baadhi ya mambo kutoka kwao ili niweze kukupa kile unacho hitaji kutoka LindegeBlog Kwani lindegeblog tuko kwaajili yako wewe mdau wetu kuhakikisha unapata kilicho bora Nakatika Inter View hii ilikua yakitofauti kabisa Niliipanga hivi alianza Cmpoo Akamaliza De la p N ailikua Hivi
Lindege-- Inakuaje Cmpoo
Cmpoo-- poa Lindege Mambo Nnini
Lindege--Poa Sana Leo kuna baadhi ya mambo ambayo ambayo ningependa tuoongee kidoogo kusu BROKEN MADA namengine mengine kuhusu hii Game Ya HIP HOP ila kikubwa ni Broken mada ni ninini na wanafanya nini wanapatikana wapi Wamejipanga vipi katika Muziki Wa Arusha na Tz kwa ujumla
Cpoo-- hamna noma bana Lindege na nilikua nasubiri sana kitu kamahii inayo andikwa kwani tumesha fanya sana interview za kubonga Tuspoteze Muda ni hivi
Mimi ni Cmpoo Huyu ni De la kilamtu anastaili yake ya kuishi lakini katikastaili hiyo ya kuishi inategemea nakazi unayo ifanya hata ofisini kuna sheriazake na bosi ndio mfuatiliaji wake ukizingua kinachofuata ni sheria kuchukua nafasiyake sasa kwasisi wana music wa hip hop kwasababu ubosi ni kichwa chako machizi wanazingua kinoma saabu wao wenyewe ndio mabosi lakini Hip Hop ingekuwa ni mtu flani wengi wange shaga fukuzwa kazi saa HIP HOP ina misingi yake naukivunja misingi kifuatacho ni nyumba kudondoka kwaiyo hip hop ingekuwa ni mtu isinge vumilia haya yanayo fanywa sasaivi na wasanii wa Arusha Wanao badilisha HIP HOP kuwa mipasho sisi kama BROKEN MADA tumejipanga vilivyo na mashabiki wa subiri kuna ngoma moja tumeiandaa kwaajili ya hwa waki walioko kwenye hii game
Cmpoo hakuishia hapo aliendelea kwakusema kwamba"lindege watu wamebweteka na mafanikio madogo waliyonayo" lakini haisaidii kitu yoyote kuna ma mc wakali sana Arusha lakini hawa wanao badilisha hii game kwaajili ya promo ndio moja kati ya kigezo kikubwa sana Stataka kuwataja kwa majina lakini wanaji fahamu na wako wengi saaana wengine saivi wamesha hamiaga na Dar kabisa ila watakaa tuu Broken Mada hatuta hanya kitu yoyote natuta waambia tuu kwaninini
Cmpoo alimaliza kwa kuwa shukuru machizi wake wote wa karibu ambao wana suport hip hop ambao pia nao ni wana hip hop MGOMBAZ NIGAZ .WATENGWA.KID CAN KIL;nawengine kibaaaaaaao Sasa Tuna kutana na De la p ambae pia ni producer toka LP PRODUCTION[LPP] Nae alikua na haya machache
Lindege--Nafasi yako De la p Weunalizungumziaje suala Hili
De la p-- Mengi amesha yasema Cmpoo lakini kuna kitu kimoja mimi ningependa kuwakumbusha ma mc wote ni kwamba kunavitu muhimu vyakufanya ili utusue life 1 heshima 2 amani 3 upendo hakuna kitu kinaweza leta mfarakano wakati mimi na wewe tuna heshimiana na hatuta wekeana vikwazo wakati kuna love kati yetu vilevile kukiwa na amani hakuta kuwa na beff yoyote yaki duanzi katiyetu ila kweli kunabaadhi ya machizi wanazingua vibaya
De la P Alimaliza kwa kuwataka ma mc walio legeza kwaajili ya promo kubadilika Kwani Hiyo wanayo ifanya sio hip hop ni utumbo mtupu bora wasijiite wana hip hop
imeandaliwa na BERNAD DANIEL au LINDEGE
MWISHO